WATU WANNE WAFARIKI DUNIA BAADA YA LORI LA MAFUTA KUDONDOKA MLIMANI SEKENKE NA KURIPUKA

 Haya ni mabaki ya mwili wa mmoja ya watu walikuwam kwenye Lori hilo
Lori la mafuta limeanguka jioni hii katika eneo la milima ya sekenke mkoani singida na kuua watu wanne hapohapo.Chanz cha ajali hiyo ni breki kufeli kukamata wakati lori hilo lilipokuwa linashuka mlima huo
Moto ukimalizikia kwa mbaliii kama inavyoonekana

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger