1.
iPhone 5 Black Diamond - Imebuniwa na mwingereza Stuary Hughes, na
thamani yake imekuwa ya juu zaidi kutokana na logo pamoja na home button
yake kuwa ni madini ya Almasni na cava lake ni dhahabu, na hii
inapatikana kwa kiasi cha dola milioni 15.3, zaidi ya shilingi bilioni
24 za kitanzania.
3. iPhone
3GS Supreme Goldstriker - Hii ni ya tatu katika orodha ya simu za
gharama zaidi duniani, Imebuniwa na kampuni ya Goldstiker International,
Imetengenezwa na kunakshiwa pia kwa madini ya alomasi na dhahabu.
Thamani yake ni dola milioni 3.2, zaidi ya shilingi bilioni 5 za
kitanzania.
5.
GoldVish Le Million - Hii imebuniwa na raia wa Sweeden, Emmanuel Gueit
na imepambwa kwa madini ya dhahabu, special order na inamilikiwa na
mfanyabiashara maarufu wa Russia, Bei yake ni dola milioni 1.3, zaidi ya
shilingi bilioni 2 za kitanzania.
6. Diamond
Crypto Smart Phone , Mbunifu wake anaitwa Peter Aloisson, Simu hii
imewekewa cover ya Gold na Almasi nyingi nimetumika katika kuipatia
muonekano wa kuvutia, Bei yake ni dola milioni 1.3, zaidi ya shilingi
bilioni 2 za kitanzania.
7. Gresso
Luxor Las Vegas Jackpot - Hii inatajwa kamo moja ya simu kali kabisa za
kifahari duniani, imebuniwa na kampuni maarufu ya kutengeneza simu za
kifahari ya Gresso, Dhahabu, Almasi pamoja na aina ya mbao kutoka Afrika
yenye umri wa miaka 200 vimetumika katika kuunda simu hii, Bei yake ni
dola milioni 1, zaidi ya shilingi milioni 161 za kitanzania.
8. Vertu
Signature Cobra - Hii imebuniwa na Vetru, ni simu ya kifahari kwa
madini yaliyotumika kufanya muundo wake ila kimsingi ndani yake ina vile
vitu muhimu tu na vya kawaida katika oparesheni ya simu ya mkononi, Bei
yake ni dola laki 3 na 10, zaidi ya milioni 501 za kitanzania.
2.
iPhone 4 Diamond Rose Edition - Hii imetengenezwa kwa madini ya dhahabu
na almasi pia katika nakshi zake zote, na bei yake ni dola milioni 8,
zaidi ya
shilingi bilioni 12 za kitanzania.
3. iPhone
3GS Supreme Goldstriker - Hii ni ya tatu katika orodha ya simu za
gharama zaidi duniani, Imebuniwa na kampuni ya Goldstiker International,
Imetengenezwa na kunakshiwa pia kwa madini ya alomasi na dhahabu.
Thamani yake ni dola milioni 3.2, zaidi ya shilingi bilioni 5 za
kitanzania.
4.
iPhone 3G Kings Button - Simu hii imebuni wa na mbunifu mahiri, Peter
Aliosson, Imepambwa na dhahabu nyeupe na njano, Bei yake ni dola milioni
2.4, zaidi ya shilingi bilioni 3 za kitanzania.
5.
GoldVish Le Million - Hii imebuniwa na raia wa Sweeden, Emmanuel Gueit
na imepambwa kwa madini ya dhahabu, special order na inamilikiwa na
mfanyabiashara maarufu wa Russia, Bei yake ni dola milioni 1.3, zaidi ya
shilingi bilioni 2 za kitanzania.
6. Diamond
Crypto Smart Phone , Mbunifu wake anaitwa Peter Aloisson, Simu hii
imewekewa cover ya Gold na Almasi nyingi nimetumika katika kuipatia
muonekano wa kuvutia, Bei yake ni dola milioni 1.3, zaidi ya shilingi
bilioni 2 za kitanzania.
7. Gresso
Luxor Las Vegas Jackpot - Hii inatajwa kamo moja ya simu kali kabisa za
kifahari duniani, imebuniwa na kampuni maarufu ya kutengeneza simu za
kifahari ya Gresso, Dhahabu, Almasi pamoja na aina ya mbao kutoka Afrika
yenye umri wa miaka 200 vimetumika katika kuunda simu hii, Bei yake ni
dola milioni 1, zaidi ya shilingi milioni 161 za kitanzania.
8. Vertu
Signature Cobra - Hii imebuniwa na Vetru, ni simu ya kifahari kwa
madini yaliyotumika kufanya muundo wake ila kimsingi ndani yake ina vile
vitu muhimu tu na vya kawaida katika oparesheni ya simu ya mkononi, Bei
yake ni dola laki 3 na 10, zaidi ya milioni 501 za kitanzania.
9.
Sony Ericsson Black Diamond - Simu hii imebuniwa na Garen Joh. black
diamond ndiyo madinili yaliyotumika kutengeneza kava lake, ina muonekano
ya kifahari na wa kiwango cha juu, Inauzwa dola 300,000. Zaidi ya
shilingi milioni 484 za kitanzania.
10.
iPhone Princess Plus - Almasi imetumika kupamba muonekano na muundo
wake, na bei yake ni dola 176,400, zaidi ya shilingi milioni 285 za
kitanzania.

No comments:
Post a Comment