Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (UDA), jana lilizindua
mabasi mapya 175 na kufanya mabasi yaliyopo
kufikia 288 yatakayokuwa yanatoa huduma ya
usafiri katika jiji la Dar.
- Ni kati ya 1,000 yaliyonunuliwa na
hadi kufikia mwezi Juni mwaka huu yote yatakuwa
yamewasili nchini.
- Lengo ni kufikisha idadi ya
mabasi 3,000 ifikapo mwishoni mwa mwaka huu.
Creedit: williammalecela blog

No comments:
Post a Comment