skip to main |
skip to sidebar
"MIMI NI CHAKULIALIA"....KAJALA
STAA wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’ amefunguka kuwa machozi yake huwa yapo karibu hivyo ukimuudhi kidogo tu lazimaalie.
Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’
Akipiga stori mbili-tatu na Bongowood, Kajala alisema: “Machozi yangu
yapo karibu sana sijui kwa nini huwa nashindwa sana kujizuia yaani mtu
akinikorofisha kidogo tu lazima nitoe machozi ndipo hasira zitulie.”
No comments:
Post a Comment