HIKI NDICHO ALICHOAMBIWA MTANGAZAJI BOND BIN SINAN NA MAREHEMU GEORGE TYSON KUHUSIANA NA TUZO ZAKE ZA VIEWERS CHOICE

Hizi ndizo sms au ujumbe mfupi wa maneno ambao bond alikua akichat na marehemu mda mchache kabla ya mauti kumfika, inasikitisha sana hii, lakini hatuna jinsi kwani wote tutapitia njia hiyo. mungu ailaze roho ya marehemu maala pema peponi amina.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger