Tarehe
25 May 2014 ilikua ni Birthday ya Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho
ya Cloudsfm Diva iliyofanyika katikati ya Bahari pande za White Sands
Hotel na kuhudhuriwa na wageni wachache kwa mualiko maalum, alikuwepo
Mtangazaji wa Amplifaya ya Cloudsfm Mtu wa Nguvu Millard Ayo, Mtangazaji
wa Cloud E ya clouds Tv, Mwanadada Irene Andrew mtu wa karibu na Diva
Loveness Love, Mdogo wake Diva Gloria, Francis Ayo pamoja na Gossip Cop
Soudy Brown.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment