MWIGIZAJI Jacqueline Pentezel ‘Jack wa Chuz’ akutwa na njemba aliyejulikana kwa jina la Rashid Said.
Baadhi ya watu waliofika kumtembelea Jack aliyekuwa akisumbuliwa na
ugonjwa wa Typhoid, walihoji juu ya ukaribu wa Rashid ambaye ni kinyozi
mjini hapa na staa huyo ndipo paparazi wetu alipowauliza wawili hao kwa
nyakati tofauti, kila mmoja akatoa jibu lake.“Huyu ni shemeji yangu kwa bwana angu ambaye baada ya kupata taarifa za mimi kulazwa alifika hapa toka mwanzo na kunihudumia,” alisema Jack huku Rashid akisema:
Jack baada ya kulazwa kwa muda hospitalini hapo, aliruhusiwa na kurejea nyumbani kwake, Dar.

No comments:
Post a Comment