JAMAA ASHINDWA NA UZALENDO NA KUAMUA 'KUZAMA CHUMVINI' AKIWA UKUMBINI NA WATU WANAMWANGALIA....
Ni kitu cha kushangaza sana huyu jamaa aliona kusubiri mpaka wakitok ukumbini sijui atachelewa nini. Alichokifanya
kiliwashangaza wengi hadi bibi harusi mwenyewe kama unavyomuona pichani. Ni hatari sana hahaha.
No comments:
Post a Comment