Showing posts with label MAAJABU. Show all posts
Showing posts with label MAAJABU. Show all posts

MWIMBAJI AMTIMUA MWANAMKE UKUMBINI, KISA KIZIMA HIKI HAPA

Katika hali isiyokuwa  ya kawaida, mwimbaji ambaye ni Prezidaa wa Bendi ya Mikumi Sound, Joshua Malekela amelazimika kumtimua mwanamke mmoja ukumbini, kisa kikielezwa ni mcharuko.
Tukio hilo la aina yake lilijiri wikiendi iliyopita kwenye Ukumbi wa Black Poiny uliopo maeneo ya Iringa Road, Msamvu mjini hapa ambapo bendi hiyo ilikuwa ikishusha burudani.

Mlinzi akimuondoa mcharuko(jina halikufahamika) kutoka ukumbini.
Kabla ya kutimuliwa, mwanamke huyo ambaye jina halikupatikana, alikuwa akicheza ovyo na kuparamia waume za watu.
Pia kabla ya kutolewa, mwanamke huyo alionekana akikwidwa na shabiki wa bendi hiyo akimshutumu kujipendekeza kwa mumewe kwa kumlazimisha akacheze naye sebene huku akimwaga ‘lazi’ hadharani.
Mcharuko ukisindikizwa kutoka ukumbini.
Baada ya uongozi wa bendi kulalamikiwa juu ya mwanamke huyo, ndipo prezidaa huyo akaita mabaunsa na maafande wa ukumbi huo na kuwaamuru kumtoa nje mara moja, jambo ambalo lilitekelezwa.
Read more >>

MAAJABU: MWANAMKE AIBA KITU KIKUBWA NA KUKISOKOMEZA CHOTE KWENYE UTAMU WAKE, MUONE HAPA

Screen Shot 2014-09-18 at 8.31.59 AM 
Tumezoea kuona watu wakiiba kwenye supermarket lakini mara nyingi mbinu zao za wizi huwa ni zilezile tulizozoea kuziona ambapo pamoja na kuipata hii video naendelea kufatilia kujua mengine ya ziada baada ya hii ambayo nilitumiwa Whatsapp ya Mwanamke huyu aliejaribu kuthubutu.
Read more >>

MAAJABU: SAMAKI MWINGINE WA AJABU AONEKANA UFUKWE WA PEMBA,WANANCHI WAJIPATIA KILAJI KIULAINI


Wafanyakazi wa Uvuvi pemba wakimpima Nyangumi aliyeonekana Pemba akiwa ameanguka ufukwe wa bahari wa shamiani.


Wananchi wakikata minufo ya Nyangumi aliyeangukia katika ufukwe wa Pemba bahari ya Hindi maeneo ya shamiani, kama wanavyoonekana pichani wakiwa katika harakati hizo.

Read more >>

BINADAMU WAGEUKA KUWA WANYAMA PORI,..! ONA HAWA WAKILANA URODA NYUMA YA BUSTANI


ZA mwizi arobaini aliyebuni Camera anasababisha kizaazaa jamani. Kila siku kukicha watu wanabadili matendo na kuanza kufanana na wanyama,  matokeo yake wameona nyumbani hapafai wameenda kuwazongazonga wanyama pori.
Read more >>

HUYU NDIO MSICHANA AMBAYE MWILI WAKE UNABADILIKA POLEPOLE NA KUWA KAMA JIWE..!!! -

Ni Min is suffering from a rare condition that turns her muscles to solid bone - fibrodysplasia ossificans progressiva (FOP). The genetic mutation is also known as Stone Man Syndrome and, unfortunately, there is still no cure for it. Although there are less than six hundred cases of it across the globe, those suffering from it eventually die.
Ni Min began showing Stone Man syndrome symptoms at the age of eight.
The 14-year-old girl began showing symptoms at the age of eight, after several examinations tests showed she was suffering from the genetic mutation. Despite the depressing prognosis doctors and Ni’s family hope to delay the symptoms with medication, in a bid to prolong her life and slow down the effect of the rare disease.
Unfortunately, patients usually die in their 40s when they can no longer breathe.
Dr Zhang Keqin, who is leading Ni’s treatment, said: “At present her condition is not very serious and we have prescribed medicine for her. We will see how that goes over the next 6 months. Patients usually die in their 40s when they can no longer breathe because of the pressure on their lungs.”
The extra bone progressively restricts movement, forming a second skeleton that imprisons the body in bone.
The disease causes bone to form in muscles, tendons, ligaments and other connective tissues. Over time, this extra bone restricts movement, forming a second skeleton that imprisons the body in bone. It results in a gruesome death when the cartilage holding the ribs together also solidifies, making it impossible to breathe and eventually the patient suffocates or suffers massive cardiac arrest.
Read more >>

MCHUNGAJI ASHTUA KUMUOA DOGODOGO NA KUMUACHA MKE WAKE MKUBWA


MCHUNGAJI Peter Rashid Abubakari wa Kanisa la RGC lililoko Mbezi ya Shamba jijini Dar, amedaiwa kuoa mke wa pili aitwaye Pamela Didas Asenga akiwa na umri wa miaka 20 tu ‘dogodogo’, Risasi Jumamosi limetonywa.
Mchungaji Peter Rashid Abubakari wa Kanisa la RGC akimuoa 'dogodogo', Pamela Didas.
Kwa mujibu wa chanzo, ndoa hiyo ilifungishwa na Askofu Innocent Lugagi wa Kanisa la White House la Durban, Afrika Kusini, Agosti 29, mwaka huu.
Mke mwingine wa mtumishi huyo wa Mungu anaitwa Zuwena (Catherine) aliyemuoa mwaka 1985. Lakini kuna madai kwamba, mke huyo amemwacha.
Mchungaji Peter Rashid Abubakari akipiga picha na mke mpya wakati wa harusi.
Chanzo chetu ndani ya kanisa hilo kilidai kwamba, mchungaji huyo aliwaambia waumini wake aliamua kumuoa Pamela kwa vile ndoa yake ya mwanzo aliifunga akiwa  Muislam na alifungishwa na shehe (hakumtaja jina).
“Alituambia Mungu amemfunulia na amempa mke mwingine mwema ambaye ni binti mbichi, watu wewee,” kilisema chanzo.
Mchungaji Peter Rashid Abubakari akiwa mke mpya.
Habari zaidi zinasema kuwa, mchungaji huyo baada ya kutua nchini, Jumapili moja akiwa kanisani kwake aliwatangazia waumini wake, hasa wanaume kwamba kama wana wake ambao walichukuana wakati wa ‘ujinga’ na wamekaa nao kwa miaka mitatu au zaidi na hawana tabia ya Kimungu, mkorofi na mchokozi na hawajafunga nao ndoa, wawaache ili Mungu awape wake wema.
Sasa baada ya picha za mtumishi huyo kusambaa hadi kwenye mitandao, Risasi Jumamosi, juzi lilifika kanisani kwake Mbezi ili kuzungumza naye lakini hakuwepo.

Mchungaji Peter Rashid Abubakari akiongoza maombi kanisani.
Baadhi ya waumini walioweza kuzungumza na Risasi Jumamosi walionesha kushtushwa na kitendo cha mchungaji wao kumuoa Pamela lakini hawakuwa tayari kusema neno!
Baadaye mwandishi wetu alimtafuta mchungaji huyo kwa njia ya simu ambapo alikuwa na haya ya kusema:

“Nipo Kiluvya kikazi lakini hilo lipo ila ni jambo langu binafsi siyo la kulitangaza.”
Baadaye alimtumia ujumbe  mwandishi akiwa ameuandika hivi:
“Sanchawa mimi ni Nabii wa Mungu Yehova, uliponipigia tu kila kitu Mungu akaniambia nia yako na kusudi lako.” 

Mchungaji Peter Rashid Abubakari.
Pia Risasi Jumamosi lilizungumza na baadhi ya wachungaji wa makanisa ya kiroho Tanzania ili kuwasikia wanasemaje kuhusu kitendo cha mtumishi huyo kufunga ndoa nyingine.
Wakizungumza kwa masharti ya kutotajwa majina yao magazetini, baadhi ya wachungaji hao walimpongeza Mchungaji Peter kwamba, aliona alikokuwa na anakokwenda ndiyo maana aliamua kuchukua uamuzi huo.
Read more >>

MAAJABU: WAPENZI WADONDOKA TOKA GHOROFA YA 6 WAKIFANYA MAPENZI NA KUFARIKI DUNIA.



Binti mrusi wa miaka 19 aliyefahamika kwa jina la Anastasia Tutik na mpenzi wake wa kiume toka mexico aliyefahamika kwa jina la Miguel, wamedondoka toka ghorofa ya 6 walipokuwa wakifanya mapenzi katika kibaraza wakisherehekea kumaliza mitihani yao ya mwisho.
Unaambiwa kuwa wapenzi hao walikuwa wakisherehekea  katika  apartment ya bei ghari na hadhi ya kipekee huko Deptford,kusini-mashariki mwa  London, wakiwa pamoja na wanafunzi wenzao kutokachuo cha Bellerbys, shule ya kimataifa inayotoza kiasi cha kuanzia £21,000 kwa mwaka.
Mashuhuda wa tukio hilo wameeleza kuwa walisikia kishindo kikubwa asubuhi na mapema.
Samson Oguntayo, 32, ambaye anaishi karibu na jengo la wahanga, amesema:

Walikuwa wanajaribu kufanya mapenzi katika kibaraza juu ya ghorofa. Jamaa alimnyanyua mpenzi wake na kumweka juu ya kibaraza na wakaendelea kufanya mapenzi Ungeweza kuwaona hata kwa mbali wakifanya kitendo hicho cha hatari. Mara nyingine walitoka nje na kurudi ndani karibu mara nne lakini walivyotoka mara ya tano hawakurudi ndani, kwani ndio safari waliyodondoka...tuliishia tu kupiga kelele.
Read more >>

WANAUME WA UGANDA WAWAOMBA WATENGENEZA CONDOM KUONGEZA SAIZI MAANA HAZIWAATOSHI NA NDIO MANA HUWA HAWAZITUMII

Ripota wa Uganda Bill the African ameripoti kutoka kwenye bunge la nchi hiyo kwamba Wanaume kutoka kaskazini mwa Uganda wamefikisha maombi kwa Wabunge wao kuhusu ishu ya mipira ya kiume (Condom) 

Hawa Wanaume wanataka Wabunge wao wawaambie wauzaji wa Condoms Uganda kupeleka saizi kubwa za Condom kutokana na zilizopo sokoni kutowatosha kwa sababu zina saizi ndogo na ndio maana hawazitumii.
Tom ambae ni Mbunge wa Moyo pamoja na Wabunge wenzake amesema >>
 ‘Nimeshuhudia hili kwamba watu wa maeneo hayo wanataka condom kubwa sababu wanauume mkubwa hivyo condom zilizopo ni ndogo na haziwatoshi kwenye uume….‘ Mbunge mwingine akasema ‘baadhi ya vijana wanalalamika kwamba baadhi ya condom wanazopewa ni fupi na haziwatoshi’
Serikali chini ya mashirika yake itabidi wafanye kazi ya kuongea na makampuni yenye tenda ya kupeleka condom Uganda ili yalete condom zinazowaenea Wananchi.
Vilevile mmoja wa Wabunge kwenye bunge hilo la Uganda amewapongeza Wabunge wenzake kwa sababu condom zinazowekwa kwenye vyoo vya bunge hilo vinavyotumiwa na Wabunge zimekua zikiisha mapema hivyo kuonyesha kwamba Wabunge hao ni watumiaji wazuri wa kinga hiyo.
Read more >>

VIDEO: MCHUNGAJI ALIYEWAHI KUWALISHA NYASI WAUMINI SASA AWANYWESHA PETROLI! :CHEKI HAPA

check video hapo chini...
Read more >>

MAAJABU: MUIGIZAJI WA FILAMU ZA KIBONGO ADAIWA KUGOMA KUREJESHA GARI ALILOTUMIA KUREKODIA FILAMU

Muigizaji wa filamu za Kibongo, Salim Omary ‘Slim’ amejikuta akiwekwa nguvuni katika Kituo cha Polisi cha Makangarawe, Yombo-Buza, jijini Dar akidaiwa kugoma kurejesha gari aina ya Land Lover Discovery walilopewa zawadi siku ya ndoa.
Muigizaji wa filamu za Kibongo, Salim Omary ‘Slim’.
Gari hilo walipewa na wakwe zake alipofunga ndoa na binti yao aitwaye Asia Morgan, mwaka jana lakini ilipofika Mei mwaka huu (takriban miezi tisa tu ndani ya ndoa), wawili hao walitengana na kusababisha wakwe hao wageuke mbogo kudai chao kwa maelezo kwamba walitoa zawadi hiyo kwa binti yao hivyo kwa kuwa wametengana, wanataka chao.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, Asia alifikia uamuzi wa kwenda kuishi nyumbani kwao Tegeta, jijini Dar baada ya kushindwa kuvumilia tabia ya wivu wa kupindukia aliyokuwa nayo Slim.
“Baada ya kutengana wazazi wa msichana huyo walimwambia Slim awakabidhi gari moja kwa kuwa anayo mawili na kama anataka Discovery (Land Lover) wamuachie lakini wapate moja kwa ajili ya binti yao kuendea chuo,” kilisema chanzo.
Salim Omary ‘Slim’ akiwa na aliyekuwa mke wake.
Akizungumza kwa jazba, mama mzazi wa Asia alisema, walimzawadia gari hilo kwa kuwa wote walikuwa wanapenda tasnia ya filamu hivyo gari hilo lingemsaidia yeye na mume wake katika shughuli zao.
“Kinachouma ni kwamba tusingefikishana hapa lakini tulishamuomba sana Slim kurudisha gari hilo au ampe mwanetu gari lingine abaki na hilo kama analipenda lakini alikataa na mbaya zaidi ana kila kitu, kuanzia ufunguo na kadi ya gari kitu ambacho hatendi haki kwa mtoto wetu,” alisema mzazi huyo.
kizidi kutema cheche mbele ya kinasa sauti cha Ijumaa, mzazi huyo alisema licha ya Slim kwenda Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) kushtaki ili arudiane na binti yao, haitawezekana.
“Nashindwa kuelewa kabisa jambo hili nilijitahidi sana kulivumilia lakini nimeona imeshindikana kabisa hivyo tuliamua kwenda nyumbani na kumchukua kumfikisha kituoni hapa maana sisi tulimfanya kama mtoto wetu lakini yeye amekuwa mkaidi,” alisema mama huyo.
Salim Omary ‘Slim’akiwa katika kituo cha polisi Makangarawe, Yombo-Buza.
Mwandishi wetu alimfuata Slim kituoni hapo na kuzungumza naye kuhusiana na sakata hilo ambapo alisema anachofahamu yeye ni kwamba zawadi inapotolewa kwenye harusi na wazazi inakuwa ni ya mke na mume lakini anawashangaa wazazi hao kuidai ikiwa hata mkewe hajampa talaka.
“Nashindwa kuelewa kabisa kwa sababu wazazi wa mke wangu walitoa gari lile kama zawadi sasa sielewi kwa nini walidai tena wakati mke wangu sijamuacha, suala hili lipo Bakwata.
“Isitoshe, gari hilo nimelitengeneza sana mpaka kufikia lilivyo sasa kwani bado lipo gereji, lakini kwa kuwa wameamua kunidai, baada ya miezi mitatu nitakuwa nimewapa gari lao,” alisema Slim.
Read more >>

NYOKA WAKUBWA DUNIANI, ONA HAPA

giant-snake

tazama mijoka mikubwa duniani,

huge python asia
giant-snake
Read more >>

MAAJABU: WANAUME NCHINI UGANDA WANALALAMIKA KUWA CONDOM NI NDOGO PINDI WAVAAPO, ONA MWENYEWE WABUNGE WAKILALAMIKA

 
Ugandan MPs hаvе bееn іnundаtеd wіth соmрlаіntѕ that mаnу condoms оn ѕаlе in thе Eаѕt Afrісаn nаtіоn аrе tоо small, wаrnіng thе рrоblеm is a blоw tо the fіght аgаіnѕt AIDS. Insisting thаt one ѕіzе doesn't fіt аll, MP Tоm Aza ѕаіd Ugаndа'ѕ Pаrlіаmеntаrу Cоmmіttее fоr HIV/AIDS ѕаіd a recent tour оf аrеаѕ wоrѕt hіt bу the vіruѕ rеvеаlеd thаt ѕоmе mеn "hаvе bіggеr ѕеxuаl оrgаnѕ аnd thеrеfоrе ѕhоuld bе соnѕіdеrеd fоr bіggеr соndоmѕ." "Whеn it соmеѕ tо асtіоn, when thеу'rе hаvіng ѕеxuаl асtіvіtу,
оf соurѕе wіth the рrеѕѕurе, іt burѕtѕ," he told NTV Uganda. "Sоmе уоuth are соmрlаіnіng that the соndоmѕ they аrе bеіng gіvеn, ѕоmе оf them аrе tоо ѕhоrt, thеіr organs can't fіt іn thеm," MP Merard Bitekyerezo also told thе сhаnnеl. Anоthеr соmmіttее member, Sаrаh Nеtаlіѕіlе, ѕаіd thе ѕіzе іѕѕuе was "exposing our younger boys and gіrlѕ, аnd all thоѕе uѕеrѕ оf condoms, tо the асԛuіrіng оf HIV and AIDS." NTV Uganda's rероrt ѕаіd thе MPѕ wоuld рuѕh for bеttеr condom ѕuррlіеѕ аnd bіggеr ѕіzеѕ. It іѕ nоt the fіrѕt time thе penis ѕіzе issue hаѕ been rаіѕеd tо соndоm manufacturers. In 2006, thе Indіаn Cоunсіl of Mеdісаl Research fоund 60 percent оf mеn іn Mumbаі hаd penises аt lеаѕt 2.4 сеntіmеtеrѕ (оnе іnсh) shorter than international соndоm ѕіzеѕ, аnd that fоr 30 percent оf men, thе ѕіzе deficit wаѕ fіvе centimeters (two іnсhеѕ). AIDS іѕ seen аѕ bеіng rеѕurgеnt іn Ugаndа аftеr years оf dесlіnе, wіth аѕ mаnу as 80,000 people dуіng оf thе dіѕеаѕе еvеrу уеаr. From a реаk оf 18 percent іnfесtеd іn 1992, Ugаndа'ѕ "ABC" strategy -- Abstinence, Bе fаіthful, Cоndоm -- hеlреd slash rаtеѕ to 6.4 percent іn 2005. But rates hаvе crept bасk uр to 7.2 реrсеnt in 2012. Aѕ many as 1.8 million people іn thе country now live wіth HIV, аnd a mіllіоn сhіldrеn hаvе been orphaned after thеіr раrеntѕ dіеd оf AIDS.
Read more >>

ALIPA MILIONI 33 KUONGEZEWA TITI LA TATU


Jasmine Tridevil katika pozi.
MWANAMKE aliyejitambulisha kwa jina la Jasmine Tridevil (siyo jina lake halisi) mwenye umri wa miaka 21 amedai kufanyiwa upasuaji na kuongezwa titi la tatu kupitia mahojiano aliyoyafanya redioni.

Jasmine ambaye ni raia wa Tampa jijini Florida nchini Marekani anayejishughulisha na utoaji huduma ya massage, alilipa kiasi cha dola za Kimarekani 20,000 sawa na milioni 33.4 za Tanzania kufanyiwa upasuaji huo.

Mwanamama huyo katika mahojiano na Real Radio 104.1 alidai kuwa ameamua kufanya hivyo ili asiwe na mvuto kwa wanaume maana hataki kuwa na mpenzi huku akipenda kuwa staa katika TV japo
alipoulizwa sababu ya kwa nini hataki kuwa na mwenza hakutaja sababu.



Takribani madaktari 50 walikataa kumfanyia upasuaji huo wakiogopa kuvunja miiko ya fani yao hivyo kumchukua miaka miwili kumpata daktari aliyekuwa tayari kufanya hivyo.

Kwa sasa mama huyo anarekodi video itakayoonesha changamoto anazokutana nazo akiwa mwanamke mwenye matiti matatu.

Mtaalam aliyemfanyia upasuaji ambaye hakutaka kutajwa jina lake alichukua tishu katika tumbo la mama huyo ili kutengeneza titi la tatu.

Jasmine amesambaza picha zake mpya akiwa katika vazi la bikini kupitia ukurasa wake wa Facebook baada ya upasuaji huo.

Mrembo huyo amedai kuwa amekanwa na mama yake mzazi pamoja na dada yake.
"Mama yangu alikimbia, hataki kuongea na mimi wala hataki dada yangu aongee na mimi baada ya kuongeza titi la tatu," Alisema Tridevil

Mbali na furaha aliyonayo mrembo huyo, bado anadai titi lake la tatu halifanani na mengine. Tridevil analazimika pia kujitengenezea mavazi yake mwenyewe ambapo ananunua mavazi mawili ya kuogelea
kisha moja analikata ili kupata nguo itakayokaa kwenye titi lake la tatu.
Read more >>

KANISA LAMTEKA NA KUMFUNGA MINYORORO MWALIMU KWA MUDA WA MIEZI NANE MULULIZO

Ndugu wa mtu anayedaiwa kuwa ni mlemavu wa akili, Galus Focus Nguruwe (35) ambaye ni mwalimu wa sekondari moja mjini Morogoro, wamelituhumu Kanisa la House of Prayer Shield of Faith Christian Fellowship lililopo Boko Magengeni jijini Dar kuwa wamemfunga mnyororo ndugu yao huyo kwa miezi nane mfululizo.
Mwalimu Galus Focus Nguruwe akiwa amefungwa mnyororo
Kwa mujibu wa dada wa Galus, Piencia Focus, ndugu yao huyo alichukuliwa na mke wa mtoto wa dada yao waliyemtaja kwa jina la Doreen kutoka Songea mkoani Ruvuma Januari, mwaka huu bila kuwataarifu ndugu, jambo lililowafanya wamfuatilie na kugundua alipelekwa kwenye kanisa hilo kwa madai ya kufanyiwa maombi.
Dada wa Galus, Piencia Focus akiwa kanisani hapo
Dada huyo alisema kuwa aliamua kumtafuta ndugu yake hasa baada ya kupata taarifa kuwa aliko amekuwa akishinda  huku amefungwa mnyororo mguuni,  hali inayomfanya ajisaidie na kula papohapo.
“Japokuwa alikuwa na matatizo ya akili tangu zamani, lakini alikuwa akitumia dawa zake na alipata nafuu na kufanya kazi yake ya ualimu kwani alikuwa  akifundisha shule moja ya sekondari Morogoro,” alisema Piencia Focus.
Kaka wa Galus,Peter Focus akizungumza na waandishi wa habari.
Naye kaka wa Galus, aliyejitambulisha kwa jina la Peter alisema baada ya kupata taarifa kwamba mdogo wake yupo kwenye kanisa hilo aliamua kufika kwa ajili ya kumchukuwa kistaarabu lakini cha kushangaza alijikuta akiangukia kwenye mikono ya waumini hao wakidai yeye ni gaidi na wakamkwapulia fedha zake.
Peter alisema alipoachiwa alikimbilia Kituo cha Polisi Wazo Hill ambapo alifungua jalada lenye Namba za Kumbukumbu WH/RB/6364/14 WIZI TOKA MAUNGONI.
Waumini wa kanisa hilo wakijibizana na ndugu wa Galus kanisani hapo.
Peter alisema alilazimika kuungana na dada yake kwa kushirikisha na vyombo vya usalama ambapo walifika kanisani hapo kwa mara nyingine ili kumkomboa ndugu yao na kuwatia mikononi waumini waliomwibia fedha zake.
Waandishi wetu waliokuwa karibu na eneo hilo walizinyaka taarifa hizo na kufika kanisani hapo ambapo waliwashuhudia ndugu hao wakiwa na polisi wakimchukuwa mmoja wa watuhumiwa waliodaiwa kumshambulia Peter na kuondoka naye.
Kanisa la House of Prayer Shield of Faith Christian Fellowship kwa muonekano wa mbele.
Hata hivyo, jambo la kushangaza ni kitendo cha polisi hao kumwacha Galus akiwa bado amefungwa kwenye nguzo na mnyororo kanisani hapo wakidai watamfuata baada ya kumpeleka mtuhumiwa wa unyang’anyi kituoni, jambo ambalo halikuwa la kweli kwani hawakufika kwa siku hiyo.
Waandishi wetu walishuhudia timbwili la aina yake kanisani hapo kati ya waumini wa kanisa hilo na ndugu wa Galus waliorejea kwa lengo la kumchukuwa ndugu yao baada ya awali kumpeleka kituoni mtuhumiwa wa kumshambulia Peter.
Waandishi wetu walipoomba kuzungumza na uongozi wa kanisa hilo ilishindikana na kujikuta wakishambuliwa kwa maneno huku wakitakiwa kuondoka mara moja katika eneo la kanisa hilo.
Waandishi: Hamida Hassan, Gladness Mallya, Chande Abdallah na Deogratius Mongela.
Read more >>

SHULE ZA JIJINI DAR ZAFUNGWA KUHOFIA WATOTO KUTEKWA....MAGARI AINA YA NOAH YAHUSISHWA



Uvumi wa kuwapo kwa watu wanaoteka nyara watoto kwa kutumia magari aina ya Noah, umeleta mtafaruku katika shule saba za msingi Manispaa ya Temeke, na kusababisha wazazi kuvamia shule hizo na kufungwa kwa muda.

Hata hivyo, katika baadhi ya shule hizo kumeripotiwa kutokea vurugu kiasi cha jeshi la polisi kuingilia kati kutawanya watu waliotaka kuvunja mageti ya kuingilia kwenye shule hizo.

Taarifa za kuwapo kwa matukio ya watoto kutekwa na watu wasiojulikana zilianza kuenea wiki tatu zilizopita, ambapo shule zilizoathirika ni Chekeni Mwasonga, Mikwambe, Rangi Tatu, Mchikichini, Charambe, Kiburugwa, Jitihada na Mbagala Kuu.

Akizungumza na NIPASHE Jumamosi, Afisa Elimu ya Msingi Manispaa ya Temeke, Honorina Mumba, alisema uvumi huo siyo wa kweli na hawafahamu nani anahusika kuusambaza na kwa madhumuni gani.

Alikiri kwamba kazi ya utoaji huduma katika baadhi ya shule umekuwa mgumu baada ya wanafunzi kutofika shuleni kufuatia  wazazi wao kuwazuia wakihofia usalama wa watoto wao.

MATUKIO YALIVYOJIRI
Mumba alisema taarifa ya kuwapo kwa watu wanaoteka nyara zilianzia katika Shule ya Msingi Mwasonga, ambapo ghafla zilisambaa kwa kasi kutoka shule moja hadi nyingine kiasi ambacho sasa inakuwa ngumu kudhibiti.

Imearifiwa katika matukio hayo kila shule kuna watoto kati ya wanne hadi sita walitekwa nyara katika mazingira ya kutatanisha na watu wasiojulikana ambao wanatumia magari ya Noah kwa ajili ya kutimiza vitendo hivyo.

“Hata mimi nashangaa uvumi huu unavyoenea kwa kasi na kusababisha kazi ya utoaji elimu kuwa ngumu, tunajitahidi sana kuwaelimisha wazazi lakini kila siku shule moja hadi nyingine inaathirika,” alisema.

Alisema Uongozi wa Manispaa ya Temeke kwa sasa unashirikiana na walimu na Jeshi la polisi, kuhakikisha wanajitahidi kutuliza taharuki katika shule hizo.

WALIMU WAKIRI HALI NI MBAYA
Wakizungumza na mwandishi wa gazeti hili, baadhi ya walimu na viongozi wa serikali za mitaa, walisema hali imekuwa mbaya katika shule hizo baada ya wanafunzi kutohudhuria masomo kufuatia wazazi wao kuwazuia.

Mwenyekiti wa mtaa Rangitatu, Said Pazi, alisema toka siku ya Jumatatu ilipotokea tukio hilo, hali imekuwa ya wasiwasi kwa wanafunzi hao, ambapo baadhi yao wameshindwa kuhudhuria masomo kikamilifu.

Alisema siku ya tukio, kulikuwa na wakati mgumu baada ya wazazi waliokuwa na taharuki kuvamia shule hiyo na kutaka kuvunja geti kuu la kuingilia ndani, kushinikiza wapewe watoto wao baada ya kusikia kuna wanafunzi watatu wametekwa nyara.

“Nikiwa hapa ofisini wananchi walikuja na kuniambia kuna watoto wametekwa, lakini kila nikijaribu kuuliza mazingira ya tukio hilo, hakuna aliyeweza kueleza kwa usahihi, hata hivyo idadi ya watu ilipozidi kuongezeka na kuhatarisha amani ilibidi tuwaite polisi watusaidie,” alisema Pazi.

Kwa upande wa shule ya msingi, Jitihada ilibidi ichukuliwe hatua ya kufungwa shule kwa siku moja baada ya wazazi kuamua kuwachukua watoto wao kwa nguvu na wengine kukimbia ovyo baada ya kuenea taarifa ya kutekwa wanafunzi sita.

Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Odenary Mosha, alisema tukio hilo limetokea juzi majira ya saa 4.30 asubuhi, wakati wanafunzi wakiwa mapumziko.
 
Alisema walijaribu kuwatuliza wazazi hao, lakini ilishindikana baada ya kuanza kuvamia madarasa kwa nia ya kuwatafuta watoto wao.

Hata hivyo, Mosha alisema hakuna mwanafunzi aliyeripotiwa kupotea na hata mzazi aliyefika kusema mtoto hajarudi nyumbani kwao. Mwalimu mkuu wa Shule ya Msingi Kiburugwa, Mponda Shabani, alisema kwa ujumla wanafunzi wake wote 3,400 wapo salama na hakuna taarifa yoyote ya kupotea miongoni mwao.

Hata hivyo, Afisa Elimu mama Mumba, aliwashauri wazazi kuacha kusikiliza maneno ya mitaani na kueleza katika shule zote kunafanyika zoezi maalum la utoaji wa elimu wa kujitambua kwa wanafunzi.

DC: SINA TAARIFA
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema, alipotafutwa kwa kutumia simu yake ya kiganjani, alisema bado hajapata taarifa kuhusu matukio hayo na kwamba analifanyia kazi.

KAMANDA KIENYA: NI WANAFUNZI WATORO
Kamanda Mkoa wa kipolisi wa Temeke, Kienya Kienya, akizungumzia suala hilo, alisema jambo hilo limezushwa na baadhi ya wanafunzi wasiopenda shule kwa lengo la kusababisha hofu kwa wenzao.

Alisema jumla ya shule nne eneo la Mbagala zimeathirika kwa siku mbili pekee.

Hata hivyo, kamanda huyo alisema kwamba yupo mbioni kushirikisha vyombo vya habari kuhakikisha uvumi huo unamalizika ili kuondoa usumbufu kwa wanafunzi.

CHANZO: NIPASHE
Read more >>

ANGALIA MTOTO ALIVYOVUNJA PROTOKO YA JESHI ALIPOMKIMBILIA MAMA YAKE MWANAJESHI AKIWA KWENYE PAREDI.

Hali ya hisia kali ilikumba hadhira iliyokwenda kuwapokea wanajeshi wa Marekani waliotoka Afghanistan baada ya kutumikia jeshi wakiwa huko kwa miezi tisa kabla ya kuungana na familia zao.

 Wakati wanajeshi hao wakipokea amri ya jeshi kabla ya kuruhusiwa kukutana na familia zao mtoto wa miaka mitatu Cooper Waldvogel uvumilivu ulimshinda na kukatiza kumkimbilia.

Bila ya kujali protokali mtoto huyo aliwaponyoka watu waliokuwepo na kukimbilia moja kwa moja mikononi mwa mama yake na kumkubatia kwa hisia kali.
Read more >>

HAWA WAZUNGU NI HATARIIIII WATEMBEA PEKUPEKU MITAA YA POSTA DAR

J*icha ya kuwepo kwa madimbwi ya maji yaliyochanganyikana na maji taka kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam , raia hao wa kigeni ambao hawakufahamika wanatoka taifa gani walinaswa na kamera ya mtandao wa habari za jamii.com wakipita maeneo ya posta mpya jirani na jengo la IPS wakiwa pekupeku jambo ambalo ni hatari kwa afya zao. * *Hata hivyo haikuweza kufahamika mara moja walikokuwa wakienda.* *Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na baadhi ya madhehebu kutoka nje ya nchi ambayo waumini wake hawavai viatu kutokana na imani zao
Read more >>

HII NDIYO TV INAYOUZWA MILIONI 75 ZA KITANZANIA...!!


Niliwahi kuuliza kwa watu wa nguvu shilingi milioni 75 wakipata watatumia kwenye nini?, majibu ya wengi yalikua ni kujenga nyumba na kununua gari huku wengine wakisema watawekeza kwenye biashara.
Sasa basi, pamoja na hiyo milioni 75 kuonekana inaweza kufikiriwa kufanya mambo hayo makubwa ya kimaisha… imefahamika kiwango hicho cha pesa kinaweza kuishia kwenye kununua TV moja tu hii mpya ya Samsung ya inch 85 na usirudishiwe chenchi.
tovuti hii ilipotembelea duka lao Mlimani City, imeambiwa TV hii ina vitu vingi vya kipekee ikiwemo kutumia ishara ya mkono, sauti, na sura kufanya setting mbalimbali ikiwemo kupunguza sauti badala ya kutumia remote.104 
Smart contents mfano Instagram, twitter, facebook na apps nyingine mbalimbali ambapo unaweza kutumia Internet kuwasiliana kwenye mitandao mbalimbali kama vile skype ambapo mnaweza kuonana zaidi ya watu watatu kwa wakati mmoja.
Ina music system yenye mziki mzito hapohapo hivyo ukiwa nayo huna haja ya kununua home theatre, pia faster speed squad core processor.
Digital tuner unaweza kupata local free channels zaidi ya 40 bila decorder na ukitaka channel za kulipia utatumia smart card ambayo unaiweka kwenye smart card slot nyuma ya TV yako.
Vilevile ukiwa na samsung smart phone unaweza kuiunganisha na TV ukaplay videos, music video games kutoka kwenye simu yako.
105
102
101

Source: Millard Ayo
Read more >>

ASKARI MAGEREZA WA KIKE AKAMATWA AKINGONOKA NA MFUNGWA WA KIUME, VIDEO HII HAPA

Read more >>

MAAJABU: MFANYABAISHARA MAARUFU AFARIKI DUNIA BAADA YA KUBAKWA NA WAKE ZAKE WATANO KWA PAMOJA


MFANYABIASHARA maarufu nchini Nigeria amefariki dunia mara baada ya kubakwa na wake zake watano kati ya sita anaowamiliki. Hiyo ni kwamujibu wa gazeti la Dail Mail. Awali Kabla ya kurejea nyumbani kwake inatajwa kuwa Uroko Onoja alikuwa akipata ulabu wake (pombe) katika baa moja huko Ugbugbu katika jiji la Benue hadi mida ya majogoo.

Tajiri huyo mfanyabiashara aliporejea nyumbani kwake huku akiwa na usongo wa mambo nyeti ya sita kwa sita, aliamua kukata kiu kwa mke wake mdogo (mke wa sita). Hata hivyo, wake zake wakubwa watano ile kuona hatua hiyo, ndipo walipoingiwa na wivu nao wakachukuwa hatua ya kutinga chumbani nao wapewe mambo. Wakiwa na silaha za asili kama visu na fimbo walivamia kitanda cha Onoja na kumlazimisha to have sex with them as well.


Onoja alitumika kwa wake zake wanne kwa zamu. Lakini hali ilikuwa tete pindi mke wa tano alipo mkaribia mfanyabiashara huyo ili naye apewe mambo. Onoja alikuwa akipumua kwa taabu sana, kisha pumzi zikakata akafariki dunia papo hapo. Kuona hali hiyo mke huyo wa tano akatokomea kusikojulikana, ile hali wake wengine wawili kati ya hao wanashikiliwa na jeshi la polisi nchini Nigeria kwa kosa la mauaji na ubakaji. Onoja was a prominent member of the Ugbugbu community.
Read more >>
 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger