skip to main |
skip to sidebar
JAQCLINE WOLPER AELEZEA UHUSIANO WAKE NA NEY WA MITEGO, SOMA HAPA UFAHAMU ZAIDI
Jackline Wolper amefunguka kuhusiana na moja ya shutuma zinazoendelea
kumkabili kila anapoamka. Mdada huyo mwenye kujituma sana amefunguka
kuhusu shutuma za kumuhusisha yeye na msanii mkali wa Hiphop , Ney wa
Mitego. Mwanadada huyo akiongea na Vibe Tanzania alidai hajawahi kuwa
hata na number ya Ney wa Mitego sasa akisikia kwamba ana mahusiano na
mwana Hiphop huyo anashangaa sana kwani hata hajui maana halisi ya
kuzagaa kwa maneno hayo yasiyo na maana wala source.

Wolper aliendelea kufunguka kwamba
hayuko tayari kusikia uzushi huu ukiendelea na wala hatowaacha
wanaosambaza umbea huu kwani hajui nia yao. Msanii huyo amekua
akiandamwa na romours moja baada ya nyingine kwani alipewa scandalz ya
kusagana kabla haijapotea imeingia ya Ney wa Mitego huku Wolper huyo
huyo akihusiswa kuwa na mahusiano na G model.
No comments:
Post a Comment