Daah! Udaku ni Nouma...mwadada mrembo,
Elizabeth Michael aka LULU leo
amejikuta katika
wakati mgumu baada ya Blogu za kidaku hapa Bongo
...kumuandama kuwa kivazi chake kimeacha
sehemu kubwa ya MATIT
yake...HATARI SANA
Hivi jamanai tuwe wakweli tazama picha hii alafu
jiulize kwahali ya JOTO LA ARUSHA hii ni STORY KWELI?

No comments:
Post a Comment