MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kuwa
anashindwa kufikiria suala zima la ndoa kwani wanaume wengi ni waongo
‘wakware’.
Akipiga stori na safu hii, Maya alisema umefika wakati hata ndoa
zenyewe zinakuwa chache kwani uaminifu haupo ndiyo maana amekuwa makini
katika eneo hilo.
“Wanatukosea sana wanaume wenye tamaa za mwili, maana wamekuwa wengi
huwezi kujua yupi mkweli, tumuombe sana Mungu atusimamie,” alisema Maya.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment