Gal on fire she is back again staa irene uwoya, she was quite for a
while, lakini ujio wake mpya alokuja nao umekuwa wa kishindo n people
were so suprised, kiukweli kwa staa kibongo bongo nowdayz kuvaa taulo na kupiga picha akivaa
taulo na kutupia kwenye mitandao ya kijamii ni jambo la kawaida sana.Leo mtandaoni tumezinyaka picha hizi kwenye mitandao ya jamii, na fans wakawa wanacoment, kuna wengine walicoment kawaida wengine waliponda, but all in all kwa mastaa kama Irene Uwoya kuvaa taulo hauoni kama ni ki2 cha ajabu coz everybody do so. Alisikika akimalizia kisema hvyo kwa fans wake.

No comments:
Post a Comment