SAJENT: NITAZAA HADI MAYAI YANGU YOTE YAISHE

KIMWANA Manywele 2011, Husna Maulid ‘Sajent’ amesema kuwa anapenda watoto hivyo yupo radhi kuzaa watoto wengi kupita maelezo hata kijiji kizima.
Kimwana Manywele 2011, Husna Maulid ‘Sajent’.
Sajent alifunguka hayo baada ya kuulizwa na safu hii kama ana mpango wa kuzaa tena tofauti na mtoto aliyezaa na Prezidaa wa Mashujaa Music Band, Charles Baba ‘Chaz Baba’.
“Nitazaa hata kijiji kizima, mwenzenu nawapenda sana watoto, hivyo Mungu akinijalia nitazaa wengi,” alisema Sajent.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger