WANAUME WAMJIA JUU JOTI KWA KUWADHALILISHA

Kwa mara ya kwanza napenda kusema kitu ambacho kimeniboa sana kwa jinsi Joti anavyoigiza kama DA.KIBOGA  hata akiwa nje ya SHOW.
Mimi binafsi namkubali sana Joti ni moja kati ya wachekeshaji ninao wa kubali ukimtoa Mpoki huyu kwangu ni namba moja....But kama mshabiki KIROHO SAFI..naomba nieleze kuwa JOTI huwa ananiboa sana kuigiza kama DA KIBOGA, nilitegemea ingeishia kwenye SHOW (which is a commedy show) japokuwa mimi binafsi huwa sipendi hata kwenye show..Lakini kinacho ni kera zaidi ni kuendeleza U-DA KIBOGA hadi nje ya kuigiza..kwa mfano kwenye matangazo  na sasa hadi kwenye FOTOSHUTI ana vaa U DA-KIBOGA. Naomba nieleweke kuwa sina tatizo akiigiza kama BABU au MTOTO  hata nje ya show.
 
Katika dunia hii ya kupambana na UGEI  ni bora angeishia kwenye SHOW yenu tu. Huu ni mtazamo wangu, naomba nieleweke. UNATUDHALILISHA WANAUME

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger