BREAKING NEWS: DALADALA YAPATA AJALI MBAYA NA KUUA

https://encrypted-tbn2.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcSvOIyfmHobSXj8mKeQkmcOOMRhza5-zNgZ20fgI-wokOxNEIx4DQ
Gari aina ya Toyota Coaster  inayofanya safari zake kati ya Ubungo na Tegeta jijini Dar es Salaam imepata ajali mbaya leo mchana baada ya kugongana na gari lingine na kusababisha vifo vya watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 18 katika eneo la Makongo Sekondari  jijini Dar. Maiti bado zipo eneo la tukio, habari zaidi zitakujia hivi punde.!

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger