
Mbali na zil story za Diamond na Wema Sepetu zakuachana naa
kurudiana, ambao kwa hivi sasa imeanza kuwa historia , kuna wasanii
wawili waliokuwa wameiva sana katika penzi lao kwa muda mrefu, hapa
tunaongelea Gosby na Cindy Rules, na rumors had it kuwa hawapo njema kwa
hivi sasa, ila katika hali iliyokuwa inaonyesha kuwa wawili hao
wamezinguana, ni picha hizi zilizozua utata zinazonyesha kuwa kama vile
Cindy Rulz kashamsahau Gosby au ni kweli yupo katika project mpya.
Vibetz ilizinyaka baadhi ya picha zilizopigwa katika pozi la utata akiwa
anaonekana akitumia muda mwingi ku-hangout na celebrity Stylist wa hapa
town ajulikanaye kama Micky.

DAYNA AFUNGUKA KUHUSU SKENDO YA KIMAPENZI NA MSHIRIKI WA BIG BROTHER.


FUMANIZI: HILI NDIO FUNDISHO KWA WACHEPUKAJI, APIGWA HADI KUTOKWA NA KINYESI, ALOWA DAMU CHAPACHAPA


No comments:
Post a Comment