

Hivi sasa Diamond kama msanii wa kimataifa ana kila haki ya kuwa mmiliki halali wa akaunti yake hiyo yenye followers zaidi ya 84, 400.
Diamond anaungana na wasanii wengine kama AY kama wasanii wa bongo fleva ambao akaunti zao za Twitter zimekuwa Verified
No comments:
Post a Comment