MUONE DEMU WA KIZUNGU WA MTV AMBAYE ANAMUENDESHA DIAMOND SOUTH AFRIKA LEO….CHEKI PICHA YAKE,NOMA SANA!!!

Wakati Diamond Platnumz akiwa Afrika Kusini Tayari kabisa  kwa tuzo za MTV MAMA Awards hapo kesho , hii leo wamepewa ka-suprise kidogo baada ya mtasha wa kizungu kukamatia gari na kuwazungusha mitaa ya Afrika Kusini.
Diamond-Platnumz-na-Babutale-vibe-co-tz
Pia babutale amefunguka hivi kuhusiano na dereva huyo kupitia ukurasa wake wa instagram, “Dereva wa leo mh MTV wamenikosha baba T..” . Picha hapo chini ni babutale,meneja wa Diamond akiwa na dereva huyo….
Diamond-Platnumz-Babutale-DerevaCREDIT.VIBE TZ

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger