Kila mtu anaithamini na kuipenda tarehe ya siku
yake ya kuzaliwa,ni siku ambayo baadhi yetu huifurahia kwa
mitindo tofauti tofauti kulingamna
na nafasi aliyonayo mtu husika,lakini hebu
jiulize how it feels ndani ya hiyo siku mhimu kabisa
unapofanyiwa kitu kizuri na cha pekee na mtu
mhimu maishani mwako,inapendeza siyo?hivyo ndivyo
nilivyojiskia siku ya jana baada ya
kufanyiwa suprise ya birthday party
na kipenzi changu,Penniel pamoja
na Mama yangu mpenzi,dada yangu Esma,Halima kimwana
na familia yangu kwa ujumla. checkout picha zikijieleze zenyewe........
|
No comments:
Post a Comment