HIKI NDIO KIATU CHA OMMY DIMPOZ KICHOSEMEKANA KIMETENGENEZWA KWA DHAHABU!!


Huyu ndiye Ommy dimpoz a.k.a Poz kwa Poz, Siku chache zilizopicha Ommy alikuwa Nchini Uingereza akimsindikiza Rafiki yake Diamond Plat kwaajili ya kufanya Video yake na Iyanya. Kama ilivyo anda ya kamera Yetu kunasa matukio, Kamera imenasa miguuni mwa Ommy akiwa amevalia Viatu mithili kama vimetengenezwa na Dhahabu,.
Na hii inatokana na mambo kuanza kumuendea Supa Ommy kwa kukamata Madili ya Pesa nyingi, kupelekea kumiliki Vitu vya Gharama zaidi.KWA PICHA ZAIDI BOFYA <<HAPA>>



No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger