Showing posts with label DIMPOZ. Show all posts
Showing posts with label DIMPOZ. Show all posts

DIMPOZI ANUSURIKA KUBAKWA NA MADEMU JUKWAANI, KISA NYIMBO YA NANI KAMA MAMA

Msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ juzikati alipata wakati mgumu baada ya mademu kumvaa na kutaka kumporomosha jukwaani wakati wa shoo ya Nani kama Mama iliyofanyika katika Ukumbi wa Mzalendo Pub, Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
Mashabiki wakimng'ang'ania msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ wakati wa shoo ya nani kama Mama.
Katika usiku huo, wiki iliyopita, Ommy Dimpoz alikuwa akimsindikiza Christian Bella, aliyekuwa akizindua albamu yake iitwayo Nani kama Mama.
Mashabiki wakizidi kumng'ang'ania Dimpoz.
Ommy Dimpoz alifanya makamuzi ya nguvu ambapo warembo kadhaa walimvaa jukwaani na kumng’ang’ania, huku wakionekana kuzungumza maneno ya kumshawishi kimahaba, lakini mkali huyo wa kibao cha Baadaye ‘aliwapotezea’.
Read more >>

BEAUTIFUL EID PHOTOS OF WEMA & OMMY DIMPOZ, NI NOMAA

Read more >>

BIFU LA DIAMOND NA ALLY KIBA LACHOCHEWA NA OMMY DIMPOZ, SOMA ZAIDI HAPA

ommy
Kwa Kile Kinachoonekana kuwa kuna Beef kati ya Diamond na Ali Kiba ya Kimuziki , Baada ya Ali Kiba Kuojiwa na Kusema Kuwa hata Kaa Aongee na Diamond..Diamond Ameandika Kwenye Insta Maneno Ambayo yanaonekana ni Jibu lake kwa Ali Kiba, Mchana huu tena Ommy dimpoz amepost Picha hizo apo chini na Kuandika (Siku Mashabiki wa Ali Kiba na Diamond) akiashiria kuingila Ugomvi ama Bifu linaloendelea kati ya mahasimu hawa wawili,. Sasa swali ni je Ugomvi huu Ommy unamhusu vipi au ndio kuchochea ugomvi badala ya Kuhusuluisha… Wacha Movie Iendeleeeee
Ommy Amemaanisha kuwa hapo ndio itakavyokuwa siku mashabiki wa Diamond na Ali Kiba watakapokutana 
Read more >>

OMMY DIMPOZ AFUNGUKA MANENO MAZITO BAADA YA DIAMOND KUSHINDWA BET AWARDS 2014...!

Stori kubwa inayoongelewa kuhusu tuzo hizi za BET 2014 ambazo kwenye kipengele cha tuzo inayotolewa kwa msanii/kikudi cha Afrika Diamond Platnumz pia alichaguliwa kushiriki, ni tuzo hiyo kutolewa saa kadhaa kabla ya zile tuzo za wasanii wa Marekani kutolewa…. yani kwa ufupi hafla ya utoaji wa tuzo hizi haitoi nafasi kwa tuzo ya Afrika.
 
Kwenye exclusive interview na millard, Diamond amesema ‘tuzo ya Afrika imetolewa saa mbili asubuhi wakati tuzo za kina Chris Brown, Beyonce na wengine wakubwa zinatolewa saa kadhaa baadae usiku, Waafrika wanawekwa peke yao ila ingekua poa kama wangekua wanatoa tuzo ya Afrika palepale kama wasanii wa Marekani, ingesaidia kuunyanyua muziki wa Afrika’ Miongoni mwa waliotoa yao ya moyoni ya kutofurahishwa na utolewaji huu wa tuzo ya Afrika kivyake na kutojumuishwa na zile za wasanii wa Marekani ni msanii Ommy Dimpoz.
Read more >>

HIKI NDIO KIATU CHA OMMY DIMPOZ KICHOSEMEKANA KIMETENGENEZWA KWA DHAHABU!!


Huyu ndiye Ommy dimpoz a.k.a Poz kwa Poz, Siku chache zilizopicha Ommy alikuwa Nchini Uingereza akimsindikiza Rafiki yake Diamond Plat kwaajili ya kufanya Video yake na Iyanya. Kama ilivyo anda ya kamera Yetu kunasa matukio, Kamera imenasa miguuni mwa Ommy akiwa amevalia Viatu mithili kama vimetengenezwa na Dhahabu,.
Na hii inatokana na mambo kuanza kumuendea Supa Ommy kwa kukamata Madili ya Pesa nyingi, kupelekea kumiliki Vitu vya Gharama zaidi.KWA PICHA ZAIDI BOFYA <<HAPA>>



Read more >>

ANGALIA JINSI DIMPOZ ALIVYOFUNIKA LONDON



Read more >>
 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger