Hii ilitokea club billicanas ambapo
bishoo huyu alijikuta akisachiwa na mtoto huyu wa kike kwa kupandishiwa
sauti na kurushiwa maneno makali, mapaparazi walifanikiwa kuzipata picha
za tukio japo haikujulikana mar moja nini kilikua chanzo cha ugonvi huo
hata hivo watu waliokuwepo waliingilia kati ugonvi huo hivo kuepusha
balaa
hilo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment