Hili liwe somo kwa akina dada jeuri mnaowasaliti wapenzi wenu. Jamaa ambaye jina lake tumelihifadhi
amefanya kitu kibaya juu ya huyu dada baada ya kumbamba akiliwa uroda
na mwanaume mwingine. Chanzo hiki kilijaribu kukaa na huyu kijana ili
kumtuliza na asifanye jambo lolote baya lakini haikusaidia kwani kijana
huyu tayari amechukua maamuzi ya kutupia picha za uchi wa mnyama wa huyu
dada mtandaoni. Kwa upande mwingine ni fundisho kwa huyu dada lakina
kwa namna moja au nyingine amekosea kwani kufanya hivi nikuwazalilisha
wanawake wengine ambao hata hawajahusika katika tukio hili.
Chanzo
hiki cha habari kinawaasa vijana kutofanya maamuzi mabaya kama haya
kwani kuvujisha picha za uchi mtandaoni siyo njia ya kumfundisha mpenzi
wako. Maamuzi mazuri ni kukaa na mpenzi wako na kumueleza madhara ya
mambo anayofanya nina uhakika ukitumia busara atakuelewa. Picha
zmefichwa kutokana na maadili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment