Stori: Mwandishi WetuKATIKA hali ya kushangaza msanii wa filamu na Mkurugenzi wa Five Effect, William Mtitu amemchana live msanii mwenzake, Jacob Stephen ‘JB’ baada ya kutoa mchango mdogo kwenye msiba wa Sheila Haule ‘Recho’.
Baada ya kuzinyaka habari hizo, paparazi wetu alimuuliza Mtitu kulikoni ambapo alikuwa na haya ya kusema:
“Ukweli iliniuma sana ndiyo maana nikaamua kumchana JB mbele za wasanii yaani msanii mkubwa kama yeye na analipwa vizuri lakini anakuja kutoa shilingi elfu hamsini hii siyo sawa japo alikasirika lakini ujumbe ulifika


No comments:
Post a Comment