Paparazi wetu alipomuuliza Jengua kuhusiana na ukaribu huo msibani, alisema haoni tatizo kuwa mpenzi wa Bi. Mwenda lakini mama huyo alikataa na kusema labda katika filamu tu.
JENGUA, BI. MWENDA WAONESHANA MALOVEE KWENYE MSIBA WA MZEE SMALL
NG’OMBE hazeeki maini! Katika hali ya kushangaza,
waigizaji wakongwe, Fatuma Makongoro ‘Bi. Mwenda’ na Jengua walioneshana
malovee msibani kwa kuitana mume na mke.
Muigizaji
mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo, Mohammed Fungafunga 'Jengua'
akiwa msibani kwa aliyekuwa gwiji la vichekesho marehemu Mzee Small.
Ishu hiyo ilitokea juzi, Jumatatu kwenye msiba wa nguli wa vichekesho
nchini, Said Ngamba ‘Mzee Small’ ambapo paparazi wetu aliwashuhudia
wawili hao wakiitana bebi huku wakifuatana kila sehemu.
Paparazi wetu alipomuuliza Jengua kuhusiana na ukaribu huo msibani, alisema haoni tatizo kuwa mpenzi wa Bi. Mwenda lakini mama huyo alikataa na kusema labda katika filamu tu.
Paparazi wetu alipomuuliza Jengua kuhusiana na ukaribu huo msibani, alisema haoni tatizo kuwa mpenzi wa Bi. Mwenda lakini mama huyo alikataa na kusema labda katika filamu tu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment