JIONEE HARUSI YA PRUDUCER LUCCI, NI NOMA

Producer Lucci wa studio za Transformax ameuaga rasmi ukapela baada ya kufunga ndoa na mchumba wake Lisa Tsere. Lucci alimvisha pete na baadae walipata mtoto wa kiume, hivi sasa ni mume na mke wa halali kutoka kanisani.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger