MBUNGE APANDA BODABODA KUWAHI NDEGE

Adha ya Foleni jijini Dar es Salaam
imemkumba mbunge wa Bunge la Afrika
Mashariki kutoka nchini Tanzania, Shy-Rose
Bhanji aliyekuwa akisafiri kwa ndege na
kulazimika kukwea bodaboda ili
imuwahishe Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere Dar es
Salaam hii leo

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger