skip to main |
skip to sidebar
MSIKILIZE MUME WA FLORA MBASHA AKIKUBALI KUBAKA NA KUOMBA MSAMAHA KWA SHEMEJI YAKE.
Tunaomba usikilize hii audio Mume wa Flora Mbasha akiomba msamaha na
akifichua mambo magumu mazito yanyoendelea ndani ya famili hiyo ambayo
imezua gumzo mtaani kwa kile kinachofikiriwa kua imepoteza uaminifu
kutokana na jamii inavyoichukulia ,kua ni familia yenye hofu kubwa ya
Mungu,lakini jamii imesahau kua hawa ni binadamu 100% kuna kuanguka. MSIKILIZE HAPA
No comments:
Post a Comment