Mtoto wa ajabu amezaliwa huko wilayani makete mkoani njombe usiku wa kuamkia tarehe kumi na saba june 2014.Ukimuona
mtoto ngozi yake ni kama amevaa koti kubwa kushinda uwezo wa mwili wake
akiongea na blog hii reporter Daima kyando alisema mtoto huyo wa ajabu
alikua na tumbo kubwa lililomeza viungo vingine vya mwili kama
miguu,mikono,kiuno na shingo.Akiendelea
zaidi reporter huyo mahiri alisema mama wa mtoto huyo ambaye jina lake
halikupatikana mara moja alikua na afya nzuri na kuonesha kuwa mimba
yake ilikua ya kawaida kwani alihudhuria clinic kama kawaida na
hakupatikana na matatizo yoyote.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment