PICHA ZA MAJERUHI ALIYEKUWA PAMOJA NA TYSON KWENYE GARI
Mmoja wa
majeruhi katika ajali, Gladys Chiduo ‘Mc Zipomba’ akiwa chini ya
uangalizi wa nesi katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Morogoro akipatiwa
matibabu mapema leo.
Mc Zipompa akiwa amepumzika baada ya kupatiwa matibabu.
No comments:
Post a Comment