SERENGETI BOY ANASWA AKIMLA URODA MKE WA MTU

 

Zamani tulikuwa na hofu na mahouse girl kuvunja ndoa za watu lakini kwa sasa maboyamebadilika.Kiongozi mkubwa mstaafu serikalini (Mr Kelechi) ameshangazwa na
kile kinachoitwa sintofahamu baada ya kuona maajabu kwenye simu ya mfanyakazi wake wa kiume 

 wa nyumbani kwake(house boy).
Taarifa zinasema kiongozi huyo alichukua simu ya mfanyakazi wake iliafanye mawasiliano lakini katika kuichezea alizikuta picha za uchi za mke wake.Mapigo ya moyo yalibadilika, ndugu msomaji usiombe uibiwe mke ni bora ukaibiwa hata pesa.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger