Mwili
wa mtoto ukiwa ndani ya mfuko mweusi na ukiwa umetelekezwa maeneo ya
Magomeni jijini Dar es Salaam hapo jana. Inavyoonekana kichanga hiki
kilitupwa na mama wa mtoto huyo baada ya muda mchache kujifungua. Wakazi
wa eneo la Magomeni zilipovunjwa nyumba za kota jijini Dar es salaam
wakishuhudia mtoto mchanga anayekadiliwa kuwa
umri
wa siku moja akiwa kwenye mfuko na kutupwa na mtu asiejulikana. Askari
Polisi wa kituo cha Magomeni Usalama wakiwa katika eneo hilo ambalo
alitupwa mtoto mchanga akiwa amekufa kwa ajili ya kumchukua kumpeleka
sehemu husika Mwili wa Mtoto huyo ukiwa ndani ya gari la Polisi tayari
kwa safari ya kwenye sehemu husika. Wakazi wa maeneo ya jirani na hapo
na wale wapita njia wakiwa katika eneo la tukuo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment