Imebainishwa kuwa wanawake wengi wembamba ni watalamu wa mapenzi kuzidi wanawake wanene, hii inatokana na tafiti mbalimbali zilizofanya na watalamu wa masuala ya mapenzi kama wakina Leticia Jackson wa US, Prof. Benjamin James wa Ufaransa, Dr. Edward Huloww wa Uingereza, hawa watalamu katika tafiti zao walizofanya katika nchi mbalimbali zinaonyesha kuwa asilimia 85 ya wanawake wembamba
wanajua staili nyingi
za kuhondomolana wakati wa chakula cha usiku, na asilimia 15 ya
wanawake wanene ndio wanaojua kula vizuri chakula cha usiku. Je wewe
unasemaje kama umefanya tafiti zako niandikie utoe maoni yako.
No comments:
Post a Comment