Diva katika tasnia ya filamu Bongo Wema Sepetu.
Wema alifungukia hilo kwenye ukurasa wake wa nstagram ambapo alisema,
anatamani siku moja aitwe mama lakini taarifa zilizoenea kuwa amenasa
si za kweli.Akizungumzia hilo mpenzi wake Nasibu Abdul ‘Diamond’ alisema: “Unajua sisi tunaishi kama mke na mume kwa hiyo ishu ya mimba inawezekana lakini muongeaji ni Wema, mimi nataka iwe sapraizi.”
No comments:
Post a Comment