Mwanadada kutoka tasnia ya filamu Bongo, Coletha Raymond ‘Koleta’
amesema kwamba suala la yeye kuolewa siyo la leo wala kesho na kwamba
anakula ujana kwanza.
Akipiga stori na paparazi wetu juzikati, Koleta alisema kwa sasa
hafikirii kabisa suala la kuingia kwenye maisha ya ndoa kwa kuwa, kila
jambo na muda wake na bado Mungu hajamuonesha mwanawume wa kweli, ni
bora akaendelea kuwa ‘singo’.
“Kuolewa! Mmmh! Hapana kwanza, bado niponipo mpaka pale Mungu
atakaponipa mwanaume sahihi wa kuwa naye. Ndoa kujipanga bwana, si
kukurupuka tu, acha nile ujana kwanza,” alisema Koleta.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment