Masikini Wema katika siku alizowahi kuongea kwa uchungu, leo ametisha.
Kwa kilichomkuta leo hatamani hata kuelezea. Ameshindwa kuvumilia na
hatimae kutokwa chozi mtu mzima baada ya watu anaojibizana nao
mitandaoni kuchukua picha ya mama yake na kui-edit akaonekana akiwa
uchi. Ni fedheha kubwa sana kwa Wema na kwa yeyote mwenye uchungu na
mama hili hakuwa na budi kuwa mpole. Soma kilichomkuta hapa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment