Kupitia blog yake, Diva alidai kuwa siku za nyuma kuna mtu aliomba kuona sehemu hizo za mwili wake hivyo baada ya kumbania sana ameamua kumtimizia haja yake ili afurahi.
“Kuna
mtu alikuwa akidai hajawahi kuona miguu yangu iko ikoje na kwamba
nimekuwa nikionesha sehemu ya shingo tena kwa upande,leo nimeamua
kumfurahisha,”alisema Diva.Sambamba na maneno hayo, mtangazaji huyo alijifotoa picha zilizoocha wazi sehemu kubwa ya mapaja yake kisha kuziweka kwenye ukurasa huo.
Diva ni mtangazaji mwenye sauti ya kimahaba, yenye uwezo wa kumtoa nyoka pangoni ambaye watu wengi wamekuwa na hamu ya kumuona jinsi alivyo kwani wamezoea kumsikia redioni tu.

No comments:
Post a Comment