Showing posts with label DIVA. Show all posts
Showing posts with label DIVA. Show all posts

YAFAHAMU MAMBO 5 USIYOYAJUA KUHUSU MAISHA YA DIVA WA CLOUDS FM

1. The moment nilipoendesha gari yangu kwa mara ya kwanza! I felt like it was about time kwa sababu nilijituma sana na ku save pesa na mwisho nikawa na la kwangu mwenyewe! No more taxis!!

2. The day I did the Turn up night pale Bilicanas. I felt so proud of myself. Ni kama nilikamilisha kitu fulani wonderful ambacho kilikuwa very financially beneficial kwangu.
3. The moment niliposoma kuwa nimetangazwa kuwa best female presenter kwa Tanzania. It  was just so fulfilling. Nilihisi kwamba jamii sasa
imeanza kunikubali na ku appreciate kazi ninayofanya day in, day out. Kukaa macho kila siku mpaka saa sita usiku au saa saba usiku mara nyingine na kujitahidi kufanya kipindi kiwe kizuri zaidi lakini kuamka saa tatu asubuhi so that naweza kufanya shughuli nyingine pamoja na kukutana na producer wangu ku plan the next show.
Diva-wa-Clouds-TV-2
4 .  Nilipofanya Diva Giving For Charity event ya kwanza kabisa Kuwasaidia orphans na less fortunate people ni kitu ambacho kimekuwa ndoto yangu. Mara zote nilikuwa natamani kufanya maisha yao yawe bora. So baada ya kupata chance ya kutumia my fame and platform as a public figure kuwasaidia, ni moja ya vitu ninavyoweza kujivunia kwenye maisha yangu. Napenda kuona nao wakitabasamu.
5. Nilipotangaza kwa mara ya kwanza. Ilikuwa katika kipindi cha Jahazi na Gadner G Habash alinipa nafasi kuongea hewani kwa mara ya kwanza. I felt like I had found my calling. Lengo langu kwenye maisha. Ni siku ambayo nadhani ilini define who I am now. I am very grateful.
Read more >>

DAIVA AYAWEKIA TENA MAUNGO YAKE NYETI

Mtangazaji wa kipindi cha mahaba kiitwacho Ala za Roho kupitia Radio Clouds FM, Loveness Malinzi ‘Diva’ hivi karibuni alilazimika kuyaanika maungo yake ya sehemu za mapaja kushuka chini baada ya kutakiwa kufanya hivyo na mmoja wa mashabiki wake.

Kupitia blog yake, Diva alidai kuwa siku za nyuma kuna mtu aliomba kuona sehemu hizo za mwili wake hivyo baada ya kumbania sana ameamua kumtimizia haja yake ili afurahi.
“Kuna mtu alikuwa akidai hajawahi kuona miguu yangu iko ikoje na kwamba nimekuwa nikionesha sehemu ya shingo tena kwa upande,leo nimeamua kumfurahisha,”alisema Diva.

Sambamba na maneno hayo, mtangazaji huyo alijifotoa picha zilizoocha wazi sehemu kubwa ya mapaja yake kisha kuziweka kwenye ukurasa huo.

Diva ni mtangazaji mwenye sauti ya kimahaba, yenye uwezo wa kumtoa nyoka pangoni ambaye watu wengi wamekuwa na hamu ya kumuona jinsi alivyo kwani wamezoea kumsikia redioni tu. 
Read more >>

DIVA WA BONGO MUVI ESHA BUHETI AFUNGUKA KUHUSU BIFU NA JAQUELINE WOLPER, SOMA ZAIDI HAPA

 Mkali wa filamu Bongo Esha Buheti
BAADA ya mwanadafada Esha Buheti kutoka Bongo Movies kunyakua tuzo ya Mwigizaji Bora wa Kike katika Tuzo za Zanzibar Film Festival ‘Ziff’, iliibuka minong’ono kuwa hakustahili lakini mwenyewe ameibuka na kukanusha minong’ono hiyo.
 Akizungumza na paparazi wetu akiwa ameshikilia tuzo yake mkononi, Esha alisema hata yeye alikuwa surprised na tuzo hiyo lakini anaamini waandaaji wametumia vigezo vinavyostahili na ndiyo maana akashinda. 

Akipangua minong’ono hiyo, Esha alisema kinachowasumbua watu wengi hususan wasanii wenzake ni majungu, hivyo hajali sana maana alijua na kamwe hawezi kutetereka. 

“Wamekalia majungu na kutopendana, kiukweli mimi nilikuwa sifahamu kama nimeingia katika kinyang’anyiro hiki ambacho kimenifanya nipate tuzo, siku ya tukio saa tano usiku kuna shabiki wangu akanipigia simu na kunipa hongera nikamuuliza ya nini ndipo aliponijibu kuwa nimefanikiwa kuchukuwa tuzo ya Best Actress katika filamu ya Mimi na Mungu Wangu,” alisema Esha. 

Mbali na ishu hiyo ya tuzo, Esha amezungumzia mambo mengi yaliyopita na yaliyopo kama ifuatavyo:

Risasi Jumamosi: Niliwahi kusikia kuwa una bifu na Jack Wolper unazungumziaje hili? 
Esha Buheti: Ni kweli mimi na Wolper tulikuwa na bifu tena kubwa sana, bifu hilo lilisababishwa na ile kuvuja kwa meseji ambazo zilikuwa zikidaiwa ni za Kajala na CK ambaye alikuwa bwana wa Wema sasa baada ya meseji zile kuvuja, mimi si niliziweka Instagram na kisha kuandika kuwa kama ni kweli Kajala umefanya hivi unatakiwa kumuomba radhi Wema, dah! Wolper akaibuka na kunitolea maneno ya kashfa yenye kejeli, niliumia sana hapo ukawa mwanzo wa bifu letu. 

Risasi Jumamosi: Baada ya hapo ikawaje?
Esha Buheti: Nami nikaanza kujibu mashambulizi ndipo Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere (Steven Mengere)  alipoingilia kati swala lile na kusema kuwa Wolper amekosea, tukayamaliza.
Read more >>

DIVA AMBWATUKIA CHEGE MANENO MAZITO,YASOME HAPA

Mtangazaji wa kipindi cha ala za roho kinacho  rushwa na radio ya watu Clouds fm na pia ni mwimbaji Diva aka mimi amemcharukia mwana mziki wa kundi la wanaume family Chege Chigunda nakusema kuwa hakumuomba chege kuonekana kwenye video yake mpya mwanadada huyo aliongeza kuwa "Unanijua unanisikia hawawezi kunifanya chochote na wala siwezi kurudisha gharama zao zozote zile" alisema mwanadada huyo.
Read more >>

DIVA NA RAY C WAJILAUMU BAADA YA KUMPONDA DIAMOND'' GK AHUSISHWA ''ETI KOFIA KAMA GANDA LA CHUNGWA

BALAA JINGINE LAMWANGUKIA DIVA WA CLOUDS NA RAY C HUKO INSTAGRAM BAADA YA KUMPONDA CHIBU (DIAMOND) KWA KUKOSA TUZO ZA MTV MAMA

Read more >>

DIVA AWANYAMBA TEAMWEMA WALIOMPONDA NA KUSUSIA SHOW YAKE PALE BILCANAS, SOMA ZAIDI

diva wa clouds fm
Diva wa Clouds FM kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM alijitokeza na kuwashisia makombola ya maneno wale woote wanaojiita Team wema na Kusema hivi.....

diva tweet
Hayo yalianzia siku Ile ya Utoaji wa Tuzo za Mtv Mama Kwa Diva kumpongeza DAVIDO kwa kuchukua TUZO kuwa ndio alikuwa ana DEZEVU (Best Male: Davido (Nigeria) ambayo pia Diamond alikuwa anashindania)....hapa ndio MOTO ukawaka...wale wote (wengi wao) wanaojiita TEAM WEMA walimuibukia na kumponda sana DIVA ambae yeye alisema hadharani kuwa ni TEAM WEMA.
Read more >>

DIVA BAADA YA KUONA HATAJWITAJWI KWENYE MITANDAO, TAZAMA ALICHOKIPOST KWENYE INSTAGRAM

GK na diva

Moja ya jambo zuri katika mapenzi ni kukumbukana na kuonyesha kuwa unamkumbuka mpenziwe na kumjali,  hasa kwa kijana kama ndio ushapendwa bila shaka kuwajibika na kujituma ili kuweka smile kwa mpenzi wako, wengi wamezoea kuona Wema akipost picha za zawadi alizoletewa a Diamond, ila hii ya leo Diva nae kajibu mapigo, ni baada ya kutupia picha ya simu mpya yakisasa aina ya samsung galaxy s5 aliyoletewa na Gk,ambaye ndiye mpenzi wake kwa hivi sasa, Diva kupitia account yake ya instagram alimalizia kwa kumtupia maneno matamu Gk’
10454042_547615385347015_64368172_n
“Thank you My Gk for dis s5 new model insp…… huu mji niko katika foleni masaa sasa.. but na simu hii mpya lol … kupendwa rahaaaa”- alimalizia Diva ambaye ndiye mtangazaji wa clouds fm maarufu kwa kipindi chake cha ala za roho,  akiwa anatumia jina la Divathebawse kwenye mtandao huo wa kijamii wa instagram.
10362080_1498026627078239_50308614_n

Read more >>

MFAHAMU ANAYEMCHANGANYA DIVA

10349593_772896766076286_256519060_n

Presenter maarufu kwa kipindi cha ala za roho cha clouds Fm, maarufu kam Diva, ambaye hivi juzi kati alifunguka na kukiri kuzama katika penzi zito na msanii mkongwe wa muziki huu wa bongo fleva, amefunguka tena ila hii ya sasa na kuchanganywa na msanii mchanga aitwaye mo music kwa wimbo wake maarufu uitwao basi nenda, Mo music amezidi kumchanganya presenter huyo hadi kufunguka na kusema haya”Ukizungumzia Suparstaa mpya Tanzania aliebeba Nyimbo Ya Taifa la Tanzania inaitwa Basi nenda basi @momusic1 @momusic1 ndio Alieimba basi nenda .. sawa nenda , nami nitaudang’anya Moyo utatulia … basi mwenzenu Kutwa mara tatu yaan nauskiza asubuhi nikiamka, mchana lunch time na Dinner ….. ”
mo
Read more >>
 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger