DIAMOND AMWANDALIA ZAWADI KUBWA MAMA YAKE


Diamond akiwa na mama yake mzazi, Sanura Kasim 'Sandra'.
STAA wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond Platnumz', kesho ataachia video zake mbili ikiwa ni zawadi kwa mama yake mzazi, Sanura Kasim 'Sandra' aliyezaliwa Julai 7. Kupitia akaunti yake ya Facebook, Diamond aliandika hivi:

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger