HUU NDIO UTAMU WA WA LIL WAYNE, UONE HAPA

 
Walionekana wakiwa pamoja kwa karibu sana kwenye tukio la BET awards na baadae mapaparazi waliwapiga picha kwenye after party na pia waliondoka pamoja usiku huo.
Hivi sasa wameweka wazi kabisa na wameingia kwenye tukio la The Espys wakiwa wameshikana mikono wakifurahia tukio zima. Lil Wayne alihusishwa na tetesi za kuwa kwenye mapenzi na mwimbaji Christina Milian kwa muda mrefu lakini hivi sasa imekuwa wazi kabisa kuhusu mapenzi yao.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger