MAAJABU: DADA AKUTWA KALALA KWENYE KABATI YA CHIPS,YASEMEKANA NI IMANI ZA KISHIRIKINA SOMA HAPA



Dada akutwa kalala kwenye kabati ya chips maeneo ya Yombo Vituka leo asubuhi.

 Muuza chips alifunga kabati na kufunga eneo lake la biashara kwa kofuli kisha akaenda kulala. Asubuhi alipofungua ndipo akamkuta mwanadada amelala juu ya chips na mishkaki akiwa hajitambui. Bado haijajulikana aliingiaje maana hakuweza kuongea baada ya kutolewa.!"

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger