skip to main |
skip to sidebar
MAAJABU: KUMBE BONGO MOVIE KUNA BIKRA, MUONE HUYU MSANII AKIFUNGUKA NA KUDAI YEYE NI BIKRA

Diana mwingizaji wa kike

Diana akiwa katika pozi.
“Sijui kabisa mambo hayo na sijawahi kufanya upuuzi huo, ninaheshimu sana familia yangu baba yang
Mwigizaji wa kike anayetesa katika
tasnia ya filamu Bongo Diana Rose kimaro ‘Diana’ amedai kuwa hana
mahusiano ya kimapenzi na mwanaume yoyote na wala hafikirii kuwa na
Boyfriend kwani yeye bado ni mwanafunzi na akili yake yote ipo katika
masomo .
Wakati ukifika akiwa na maisha yake atachagua ni mwanaume yupi
anastahili kuwa naye kwa maisha yake rasmi lakini si sasa.
“Sijui kabisa mambo hayo na sijawahi
kufanya upuuzi huo, ninaheshimu sana familia yangu baba yangu ni mkali
sana hataki ujinga. Kwa hiyo si rahisi kudili na wanaume, mimi ni
bikira , natoa nafasi kwa masomo kwanza sitaki kujichanganya na kuwa
kituko mjini,” anasema Diana
Ushajtangaza utapatwa tu!!
ReplyDelete