MAPOKEZI YA DIAMOND PLATINUMZ JIJINI DAR NI BALAA,JIONEE MWENYEWE PICHA ZAIDI YA 40 HAPA...!

50mond
Diamond Platnumz ameingia Dar es salaam usiku wa July 10 mashabiki wengi wakiongozwa na mama yake,dada yake pamoja na mpenzi wake Wema Sepetu ni miongoni mwa halaiki ya watu waliojitokeza kumpokea kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere Internation Airpot. Hizi ni baadhi ya picha 45 za mapokezi ya Diamond Platnumz.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger