MWANAUME, MWANAMKE, NANI ANAMHITAJI MWENZAKE ZAIDI?, SOMA UKWELI HUU HAPA

KATIKA mapenzi kuna mambo mengi sana ambayo wahusika wanapaswa kuyafanya; leo tujadili suala la faragha. Nazungumzia tendo la ndoa.
Hivi ni nani ambaye anamhitaji mwenzake zaidi ya mwingine? Ni mwanaume au mwanamke? Kati ya wawili hawa ni nani anayetakiwa kuwa wa kwanza kumuanza mwenzake?
Ni mwanaume au mwanamke?
Wenzi wanapokuwa faragha kati yao akijisikia kuingia 'mzigoni' na mwenzake, nani mwenye haki zaidi ya kumweleza mwenzake moja kwa moja? Kiu siku zote inatakiwa kukatwa na si kulimbikizwa hadi mwingine 'mwenye haki' ya kusema 'anataka' amwambie mwenzake.
Mada ipo jikoni, lakini napenda kushea mawazo na wewe kabla ya kuweka mada hapa bloguni. Hebu niambie, unadhani ni nani anamhitaji mwenzake zaidi? Ni nani anapaswa kuwa wa kwanza kuzungumzia suala la tendo la ndoa faragha?

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger