Mtoto
anae soma darasa la nne shule ya msingi Makamba iliyopo Mbezi Makabe
Jijini Dar ambae amebakwa na mzee wa miaka 50 kwenye jumba bovu.
Katika
hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua wakazi wa Jiji la Dar na vitongoji
vyake jana wameshikwa na butwaa mara baada ya kumsikia mtoto mdogo
mwenye umri wa miaka kumi akielezea namna alivyobakwa na mzee mwenye
umri wa miaka hamsini huko Mbezi Makabae.
Tukio
hilo ambalo kwa mara ya kwanza liliruka jana kwenye kituo cha 93.7 E-FM
RADIO lililotokea Ijumaa iliyopita na kulipotiwa kituo cha polisi
Mbezi makabe na kupewa jarada namba MKB/RB/232/2014 na muda mchache mara
baada ya tukio hilo E-FM ilifika eneo la tuki na kushuhudia umati
mkubwa wa wananchi wenye ghazabu ambao walitangaza kiama cha kumska
mtuhumiwa ambae mara baada ya kutenda kosa hilo alikimbia huku Jeshi la
Polisi likimtafuta kwa udi na uvumba.
CREDIT: E-FM RADIO 93.7 DSM
No comments:
Post a Comment