NYUMBA TATU ZATEKETEA KWA MOTO MWANANYAMALA


Picha tofauti zikionyesha moto ukiteketeza nyumba maeneo ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam
Na Gabriel Ng’osha
WAKAZI wa Mwananyamala katika Barabara ya Malanga, mkabala na Hospitali ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam, walikumbwa na balaa mchana huu baada ya nyumba tatu kuteketea kwa moto na kuunguza vitu vingi ndani yake na vingine kuibiwa na vibaka.
Chanzo cha moto huo kinadaiwa kuwa ni hitilafu ya umeme ambapo pia wananchi walililaumu Jeshi la Zimamoto (Fire) kwa kuchelewa kufika eneo la tukio.Video ya tukio hilo kuwajia hivi punde.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger