Vunja ukimya! Staa wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amevunja ukimya kwa kusema kuwa kwa sasa hana shosti zaidi ya mama yake mzazi.
Akifurukuta mbele ya Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita jijini Dar,
Nisha alifunguka kwamba mama yake ndiye kila kitu kwani muda mwingi
humshauri mambo mazuri na ya kimaendeleo zaidi tofauti na mashosti wa
mjini.
“Niacheni na mama yangu mzazi, kwa sasa ndiye shosti wangu mkubwa
japokuwa nazungumza na kila mtu,” alisema Nisha ambaye alishawahi kuwa
shosti mkubwa wa Flora Mvungi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment