Leo ilikuwa
ni siku ya Ya mkali wa zamni wa Bongo fleva, Ali kiba akiachia ngoma
zake mbili katika kipindi cha XXL cha CLOUDs FM, Kama umefuatilia katika
wiki hii kumekuwa
na vuguvugu kali linaloendelea kati ya Mahasimu hawa wawili, sasa wengi
wakiwa hawajui nini chanzo cha Bifu kubwa linaloendelea kati ya Diamond
Platnumz na Ali Kiba.
Katika ali ya kutaka kujua ukweli mtangazaji wa kipindi hicho alimtandika swali la kizushi Ali Kiba kuhusu Bifu hilo linaloendelea mapka sasa huku akitaka kujua chanzo kikubwa cha yeye na Diamond na yeye kuhitiliafiana. Ali aligoma kabisa kuelezea chanzo cha ugomvi ama bifu lililo kati yao.
Bila ajizi
Dj FETTY aliamua kuweka wazi chanzo cha vuguvugu hilo. kuwa katika wimbo
wa LALA SALAMA wa Diamond kulikuwa kuna mistari ama verse ambazo
alitakiwa kuimba Ali Kiba, lakini kwa mshangao Diamond alifuata mistari
ambayo Ali Kiba ilibidi aimbe, na kwa upande wa pili Alikiba katika
wimbo wake wa Single boy pia kulikuwa kuna verse ambazo Diamond ilibidi
aimbe lakini Alikiba akaamua Kumtolea nje na kumshirikissha Lady Jay
dee.Katika ali ya kutaka kujua ukweli mtangazaji wa kipindi hicho alimtandika swali la kizushi Ali Kiba kuhusu Bifu hilo linaloendelea mapka sasa huku akitaka kujua chanzo kikubwa cha yeye na Diamond na yeye kuhitiliafiana. Ali aligoma kabisa kuelezea chanzo cha ugomvi ama bifu lililo kati yao.
Kwa hiyo Hiyo no sababu kuu kati yanyingi zinazopelekea Bifu kubwa kati ya wasanii hawa wawili wa Bongo Fleva. ni mengi yamezungunzwa ndani ya kipindi hicho cha XXL
No comments:
Post a Comment