Zoezi la kulivuta gari hilo kutoka mtaroni likianza.Zoezi la kutoa gari hilo mtaroni likiendelea.Muonekano wa gari hilo baada ya kutolewa mtaroni likiwa limeharibika vibaya.Dereva wa gari hilo la Nissan Hard Body akilitazama gari lake kwa karibu lilivyoharibika.
AJALI hii imetokea leo mchana eneo la Jogoo, Afrikana jijini Dar es Salaam baada ya trela lenye namba za usajili T590 BST kuligonga gari dogo aina ya Nissan Hard Body lenye namba za usajili T524 ALW na kulitupa mtaroni. Hakuna aliyepoteza maisha katika ajali hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment